Siku za hivi karini,kampuni ya bia ya Serengeti Breweries ilisaini mkataba wa mwaka mmoja wenye kughari kiasi cha zaidi ya mil. 100 na moja ya bendi ya muziki wa dansi hapa nchini,inayofahamika na wengi ka Akudo Impact.Hivi ingekuwa vipi kama hawa Serengeti Brewerieswangewekeza hizo hela kwenye maendeleo mengine ya kitaifa kama shule,hospital na kwengineko?
Huu ni mtazamo wangu tu sijui kwenu wenzangu mtakuwa mmepokeaje habari hii?
No comments:
Post a Comment