itanibidi nifanye mpango wa kumuhamisha huku mwaka huu maana hii ni hadha sasa,yaani inakuwa kama tupo nanihii kule!
Noma kweli mwanangu ukizingatia hizo fence, naona wanaoishi humo wana magari mazuri tu na wanashindwa hata kujichangisha kutengeneza mifereji. Na bora mwanangu umuhamishe kabisa mkwe wangu. LOL.....
ReplyDelete