HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, June 21, 2008

Jengo Laporomoka Mtaa Wa Kisutu





Jengo la ghorofa kumi lililokuwa linaendelea na ujenzi katika mtaa wa Zanaki Street,leo hii limeporomoka lote,inasemekana jengo hilo limeporomoka kutokana ujenzi mbovu na wa kiholela.na inasemekana yakwamba kuna baandi ya mafundi waliokuwa wanaendelea na ujenzi huo ambao mpaka sasa haijajulikana kuwa walikuwa ni wangapi kuwa wamefukiwa na kifusifi.na inasemekana mkandarasi wa jengo hilo hajulikani alipo mpaka sasa.
Hivi ujenzi huu holela utaisha lini hapa kwetu?




No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad