
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jakaya Mrisho Kikwete(wapili kushoto),Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe Dk Amani Abbeid Karume,Makamo wa Rais Dk Ali Mohammed Shein na Rais Mstaafu wa Tanzania Ali Hassan Mwinyi,wakisoma Hitma ya Kumuombea dua mama wa DK Shein, huko ktk msikiti wa kwa Kwaboko Mjini Unguja jana.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete(kulia),RaisAman Abeid Karume(kushoto) na Rais Mstaafu Benjamin William Mkapa wakibadilishan mawazo baada ya kumalizika kwa Hitma ya Mama yake Makamu Wa Rais Dk Ally Mohammed Shein,iliyofanyika jana katika msikiti wa Kwaboko Mjini Zanzibar.
No comments:
Post a Comment