leo nimeona tujikumbushe kidogo siku za nyuma kwa wale wapenzi wa muziki,na swali langu kwa leo ni kutaka kujua alipo potelea msanii huyu anayekwenda kwa jina la Lucas Mkenda a.k.a Mr Nice.je kuna mwenye fununu zozote juu ya msanii huyu wadau wangu?
No comments:
Post a Comment