Pichani ni mwanamuziki Bozi Boziana akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kutua uwanjani hapo jana mchana.tayari kwa kuwapiga tafu vijana wa masauti wana Akudo Impact,katika uzinduzi wa albam yao inayokwenda kwa jina la IMPACT
No comments:
Post a Comment