kuna anaeweza amini kuwa huyu ni askari wa kike katika jeshi la nchini Kenya kwa mzee Kibaki? kagangamala utafikiri men vile kudadadekiiiii!
Wanikumbusha enzi zile niko secondary school (A-level) kule Tabora, ingawa ilikuwa ni shule ya serikali ilikuwa ni ya kijeshi. Tulikuwa twapiga kwata kama huyo mdada.
ReplyDeleteMama