hivi rais Kabila katika hizi ndevu zake ni mvi kweli au kuna kitu kapaka ili nae aonekane kama umri umeanza kumpiga kikumbo?picha na mzee wa sumo.
Huo mvi kaupaka tu, jamaa hana umri wa kuwa na mvi namna hii! Naona anajaribu na yeye aoanekane mmoja wao!
ReplyDeletemaana hata mimi imenipa mashaka sana hii hali,maana ni ya ghafla sana na kitu kingine najiuliza mbona za kichwani hana hata za kusingiziwa?
ReplyDeleteKwa jinsi navomuona ni kwamba kapakaa. Hata mie mama yako sina mvi ingawa nimezidi umri... haha haaa
ReplyDelete