kutokana na kumaliza mkataba wao na televisheni ya Eatv,kiukweli ni kwamba tutawamiss sana hawa jamaa.maana walishaiteka nchi nzima kwa shughuli zao za uchekeshaji.sijui watasaini na nani tena mkataba mwingine?
Tutawa-miss saaaaana! I hope watarudi kazini soon
ReplyDelete