kutokana na hii hadha ya usafiri hapa bongo nimeamua kujipinda na kununua haka kamchuma kwa ajili ya kuendea kazini,na hapa nakapeleka gereji kwa matengezo kidogo.
mmhhh!!!!!!!!!!
ReplyDeleteinamaana hii gari itarudi tena barabarani??mbona inaonekanakuchoka sana??
hehehhehhe dah huoo mchuma wako hatari lakini hongera mwenye nao anaoo
ReplyDelete