hapa ni keep left ya clock tower,sasa naomba kufafanuliwa kwa anayefahamu,hivi sehemu kama hii unasurusiwa kusimama kwenye hii baraza au pembezoni ya mzunguko?
Ndio maana mie ku-drive bongo nashindwa. Watu wanafanya wanavyotaka wao bila kujali sheria. Huyo anapasa kutozwa fine na kunyang'anywa licence.
ReplyDelete