HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, May 13, 2008

Mv Masungwi Yazinduliwa

Rais Jakaya Kikwete akikata utepe kuzindua kivuko cha MV Misungwi cha Kigongo-Busisi ambacho kitakuwa kikiwaunganisha wakazi wa Mwanza, Sengerema na Geita katika kurahisisha kazi zao za kuchumi za kila siku. Kivuko hicho kipya, kina uwezo wa kubeba abiria 1000, magari 36 na kina tani 400.

1 comment:

  1. Sasa wakumbuke na kivuko hapo Kigamboni, maana mie naona roho za watu ziko hatarini.

    ReplyDelete

Post Bottom Ad