HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, May 19, 2008

Huyu Ni Nani??

si vibaya walau siku moja moja kuwa na kachemsha bongo kakizushi wadau wadau wangu watukufu.naomba tushee swali hili,huyu ni mtanagazaji maarufu sana wa luninga hasa vipindi vya miziki ya bolingo nangai.je huyu ni nani kwa jina lake analo tambulika?

2 comments:

  1. Huyo ni Maimartha wa Jesse, hapo alikuwa MC kwenye uzinduzi wa AKUDO IMPACT sambamba na Mussa George! Maimartha huwa anatangaza kipindi cha Afrika Kabisa kila Jumamosi saa 1 hadi 2 usiku katika stesheni ya EATV akiwa na Ben Kinyaiya!

    Leila

    ReplyDelete
  2. mmhhh!!!! huyu ni Maimatha kweli?

    mbona Maimatha nimjuaye mimi sio mzungu,na huyu mbona ni mzungu??

    whyyyyyy?

    ReplyDelete

Post Bottom Ad