HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, May 20, 2008

Nanihii Hao

picha hii iliyopigwa na kaka Mjengwa,inamuonyesha mshkaji ambaye jina lake halikuweza fahamika akiwa amewapakia wale nanihii.sasa sijui alikuwa anawapeleka wapi?
halafu nasikia hawa jamaa eti ni dawa,ni ya kweli hayo wadau?

2 comments:

  1. Mbuzi Katoliki a.k.a Mdudu a.k.a kitimoto.. Hiyo mitaa kama ya Iringa mjini pale karibu na Chuo cha Benki!

    ReplyDelete

Post Bottom Ad