HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, May 20, 2008

Kitu Kipya Hicho

moja ya mabasi mapya yanayobeba mahabusu,likiingia eneo la Mahakama Ya Hakimu Mkazi Kisutu.kuanzia sasa hivi mabasi haya ndio yatakayokuwa yanabeba mahabusu kwa safari za Mahakamani na kurudi,na si makarandinga tena kama ilivyokuwa hapo awali.picha na Father Kidevu.

1 comment:

Post Bottom Ad