HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, May 22, 2008

Hongera Kwa Wana Man U


sina la kusema zaidi ya kuwaambi kuwa huyo mganga mliompata mwaka huu basi msimuache maana mtakosa kila kitu.
hongereni sana kwa ubingwa huo mlio upata jana kule moscow mtulindie vizuri hilo kombe kwa kipindi hiki kifupi cha mwaka mmoja.maana najua kutokana ubingwa huo basi ni kelele mwezi mzima na hata maji yatakuwa hayanyweki kwa raha.

1 comment:

Post Bottom Ad