HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, January 19, 2008

Kanumba Azidi Kutesa Marekani

muigizaji maarufu wa luninga/filamu wa hapa nchini anayefahamika kwa jina la Steven Kanumba a.k.a Denzel Washington wa bongo yuko ziarani nchini marekani na sasa yuko hollywood na ametembelea warner brothers na universal studios.kwa picha zaidi juu ya muigizaji huyu tembelea kwa dada Che Mponda ili ufaidi zaidi.


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad