HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, January 19, 2008

Kenya Hali Bado Tata

askari wa kutuliza ghasia nchini kenya wakionekana kuwadhibiti vilivyo waandamanaji wa chama cha ODM kwa kipigo kikali,hali ya nchi hiyo ya kenya inazidi kuwa tata kutokana na uchaguzi wa viongozi ulifanyika mwishoni mwa mwaka jana na kuteuliwa rais ambaye wananchi hawamtaki.na mimi huwa najiuliza sasa huyu rais atawaongoza wakina nani na wote hawamtaki?


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad