uwanja wa kaunda stadium ulio chini ya klabu ya yanga mambo bado magumu kama unavyoonekana katika picha hizi.sijui tatizo ni nini maana mpaka mchanga wa kutoka majuu unaonekana hapo.
No comments:
Post a Comment