waimbaji na wanenguaji wa bendi maarufu ya twanga pepeta intanesho,wakiwajibika katika uzinduzi wa albam yao ya 9 inayokwenda kwa jina la mtaa wa kwanza ndani ya ukumbia wa diamond jubilee holi usiku wa kuamkia leo.picha kwa hisani ya mkuu Michuzi
No comments:
Post a Comment