kesho ya siku ya ijumaa ya tarehe 7 mwezi huuhuu wa krisimas,bendi ya twanga pepeta itazindua albam yao mpya inayokwenda kwa jina la mtaa wa kwanza ndani ya ukumbi wa diamond jubilee holi.inatakiwa tusikose kwenda kuona huko mtaa wa kwanza kuna kitu gani.
No comments:
Post a Comment