
timu ya taifa staz leo imejipatia ushindia wa 2-1 dhidi ya watani wetu wa jadi harambee staz katika mechi ya ufunguzi wa mashindano ya chalenji yatakayoendelea kufanyika katika viwanja viwili nchini.viwanja hivyo ni huu wa dar yaani neshno atadium na sheikh amri abeid mjini arusha
No comments:
Post a Comment