
Meridianbet inakupa nafasi ya kubashiri mechi zako unazozitaka siku ya leo kwani nafasi ya wewe kuibuka ipo. Ingia kwenye akaunti yako na uanze safari yako ya kupiga pesa.
EPL kule Uingereza inatarajiwa kuendelea Fulham atakuwa nyumbani kucheza dhidi ya Tottenham Hot Spurs ambapo tofauti ya pointi kati yao hadi sasa ni mwneyeji aliondoka na ushindi hivyo siku ya leo ni nafasi kwa mgeni kulipa kisasi. ODDS KUBWA zipo mechi hii. Bashiri hapa.
Manchester United atamkaribisha kwake Crystal Palace ambao wanashika nafasi ya 13 huku vijana wa Carrick wakiwa nafasi ya 4. Kila timu inahitaji ushindi siku ya leo kusogea juu kwenye msimamo wa ligi. Meridianbet imeweka machaguo zaidi ya 1000 kwenye mechi hii. Tandika jamvi hapa.
Mechi kali kabisa Uingereza itakuwa London Derby ya Arsenal vs Chelsea huku takwimu zikionesha kuwa The Blues mara ya mwisho kushinda mbele ya vinara hawa wa ligi ilikuwa ni 2021. Vijana wa Arteta wanahita ushindi kujiweka vyema kwenye mbio za ubingwa. Je nani kuondoka na pointi 3 hapa?. Beti sasa.
NB: Mbali na kubashiri mechi za kandanda, Meridianbet pia inakupa nafasi ya kucheza michezo ya kasino mtandaoni kama Aviator, Keno, Super Heli, ambapo unaweza kujishindia zawadi kama simu mpya aina ya Samsung A25. PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz
Pia kule Hispania, LALIGA inatarajiwa kuendelea Valencia ataumana dhidi ya Osasuna ambapo tofauti ya pointi kati yao hadi sasa ni 7. Mechi ya mwisho kukutana kati yao mgeni aliondoka na pointi 3. Meridianbet wanakwambia kuwa hii ni nafasi ya wewe kuchukua mkwanja wako. Jisajili hapa.
Naye Real Betis atakiwasha dhidi ya Sevilla ambao wanashika nafasi ya 12 huku wenyeji wao wakiwa nafasi ya 5 kwenye msimamo wa ligi. Kila timu inahitaji ushindi siku ya leo kujiweka sawa kwenye nafasi nzuri. Je beti yako wewe unaiweka wapi siku ya leo?. Tandika jamvi hapa.
Na mechi ya usiku kabisa itakuwa ni hii ya Girona dhidi ya Celta Vigo ambao wapo nafasi ya 6 huku wenyeji wao wakiwa nafasi ya 11 kwenye msimamo wa ligi. Kila timu inahitaji ushindi siku ya leo. Je wewe unaiweka wapi beti yako siku ya leo?. Suka jamvi hapa.
Kule Ujerumani, BUNDESLIGA pia itaendelea VFB Stuttgart atamenyana vikali dhidi ya Wolfsburg huku tofauti yao hadi sasa ikiwa ni 23. Mwenyeji anahitaji ushindi leo ili aweze kuendelea kukaa nafasi 4 za juu kwenye msimamo wa ligi. ODDS KUBWA na machaguo zaidi ya 1000 yapo kwenye mechi hii siku ya leo. Tandika jamvi hapa.
Halikadhalika naye Freiburg atakuwa ugenini dhidi ya Frankfurt ambao wanahitaji ushindi kwenye mechi hii siku ya leo. Mechi ya mwisho kukutana kati yao walitoa sare huku Meridianbet wakikupa nafasi kubwa ya kupiga pesa siku ya leo. Jisajili hapa.
Kwa upande wa RB Leipzig yeye atakuwa akisaka ushindi pia kule ugenini dhidi ya Humburger ambao leo hii wanataka kulipa kisasi baada ya kupoteza mechi ya mwisho walipokutana. ODDS KUBWA na machaguo zaidi ya 1000 yapo kwenye mechi hii siku ya leo. Suka jamvi hapa.
Kule SERIE A pia ligi kuu ya Italia kuna mechi za pesa Sassuolo atamenyana dhidi ya Atalanta huku tofauti ya pointi kati yao hadi sasa 10. Mgeni anaingia kwenye mchezo huu akiwa na kumbukumbu za kuchapika kwenye mechi yao ya kwanza kukutana kwenye ligi. Je anaweza akalipa kisasi siku ya leo?. Bashiri hapa.
Torino uso kwa uso dhidi ya Lazio ambao wapo nafasi ya 10 huku wenyeji wao wakiwa nafasi ya 15 kwenye msimamo wa ligi. Kila timu inahitaji ushindi siku ya leo ili kujiweka kwenye nafasi nzuri kwenye msimamo wa ligi. Nafasi ya kuondoka na ushindi ipo Meridianbet siku ya leo. Suka jamvi hapa.
Baada ya kupoteza mechi 5 kwenye mashindano yote, Juventus atakuwa ugenini kumenyana na AS Roma ambao wapo nafasi ya 3 kwenye msimamo wa ligi. Wenyeji wana mwenendo mzuri kwenye ligi huku ushindi huu ukiwa ni muhimu sana kwao. ODDS KUBWA zipo kwenye mechi hii leo. Bashiri hapa.

No comments:
Post a Comment