HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, November 12, 2024

MAKAMU WA RAIS AKIWASILI MKUTANO WA COP 29

 

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiwa katika picha ya pamoja na Rais wa Azerbaijan Mhe. Ilham Aliyev (kushoto) pamoja na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Mhe. António Guterres (kulia) wakati alipowasili katika Ukumbi wa Nizami kushiriki Mkutano wa 29 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Nchi Wanachama wa Mkataba wa Umoja wa Mataifa kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi (COP-29) unaofanyika katika Mji wa Baku nchini Azerbaijan. Tarehe 12 Novemba 2024.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad