HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, September 25, 2024

Rais wa Dkt. Samia Ameshiriki kuchambua mahindi bora na wakulima katika Kituo cha Ununuzi wa Nafaka cha Mbinga - Sokoni, Mkoani Ruvuma

 


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameshiriki kuchambua mahindi bora na wakulima ili kuyauza katika Kituo cha Ununuzi wa Nafaka cha Mbinga - Sokoni, Mkoani Ruvuma tarehe 25 Septemba 2024.

Aidha, Mhe. Rais Dkt. Samia pia amepokea taarifa kutoka kwa Dkt. Andrew Komba, Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA) kuhusu shughuli za uendeshaji wa ununuzi katika Kituo hicho na kukagua mizani ya kidigitali.



No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad