HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, June 4, 2024

Rais Samia Suluhu Hassan ashiriki Mkutano wa Korea na Afrika, Kintex nje kidogo ya Jiji la Seoul, Jamhuri ya Korea

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Viongozi wa Nchi mbalimbali mara baada ya ufunguzi wa mkutano wa Korea na Afrika uliofanyika Kintex, nje kidogo ya Jiji la Seoul, Jamhuri ya Korea tarehe 04 Juni, 2024.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na baadhi ya Viongozi mara baada ya ufunguzi wa mkutano wa Korea na Afrika uliofanyika Kintex, nje kidogo ya Jiji la Seoul, Jamhuri ya Korea tarehe 04 Juni, 2024.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasili Kintex, nje kidogo ya Jiji la Seoul, Jamhuri ya Korea kwa ajili ya kuhudhuria mkutano wa Korea na Afrika tarehe 04 Juni, 2024.
No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad