HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, March 3, 2024

WAZIRI KAIRUKI AKUTANA NA WAZIRI WA MAMBO YA NJE WA UJERUMANI MHE. KEUL

Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angellah Kairuki (Mb) amekutana na kufanya mazungumzo na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani anayehusika na masuala ya Afrika, Mhe. Katja Keul kuhusu namna bora ya kushirikiana katika kukuza utalii na kuendeleza uhifadhi katika kikao kilichofanyika leo Machi 3,2024 jijini Dar es Salaam.

Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angellah Kairuki (Mb) (katikati) amekutana na kufanya mazungumzo na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani anayehusika na masuala ya Afrika, Mhe. Katja Keul (kushoto)kuhusu namna bora ya kushirikiana katika kukuza utalii na kuendeleza uhifadhi katika kikao kilichofanyika leo Machi 3,2024 jijini Dar es Salaam. Kulia ni Balozi wa Tanzania nchini Ujerumani, Mhe.Hassan Mwamweta.

Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angellah Kairuki (Mb) (kushoto) akifurahia jambo na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani anayehusika na masuala ya Afrika, Mhe. Katja Keul (kulia) mara baada ya kikao kati yao kuhusu namna bora ya kushirikiana katika kukuza utalii na kuendeleza uhifadhi katika kikao kilichofanyika leo Machi 3,2024 jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angellah Kairuki (Mb) (kushoto) katika picha ya pamoja na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani anayehusika na masuala ya Afrika, Mhe. Katja Keul (katikati) na Balozi wa Tanzania nchini Ujerumani, Mhe.Hassan Mwamweta(kulia) mara baada ya kikao kuhusu namna bora ya kushirikiana katika kukuza utalii na kuendeleza uhifadhi katika kikao kilichofanyika leo jijini Dar es Salaam.

Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angellah Kairuki (Mb) amekutana na kufanya mazungumzo na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani anayehusika na masuala ya Afrika, Mhe. Katja Keul kuhusu namna bora ya kushirikiana katika kukuza utalii na kuendeleza uhifadhi katika kikao kilichofanyika leo Machi 3,2024 jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad