
Meridianbet inafahamika hua inatoa fursa kwa wateja wake kubashiri kwa bando kwa maana ya kwenye tovuti yao lakini pia unaweza kubashiri bila bando na ndio USSD ambapo mshindi wa ameptikana aliyeshinda kiasi cha 5,982,539.
Mshindi alifanikiwa kuweka timu 11 katika mkeka wake ambao ulikua una jumla ya ODDS 23,930 kwa dau la shilingi 250 tu na kufanikiwa kiwango hicho cha pesa, Hii inaonesha namna ambavyo inawezekana kujipigia mkwanja na mabingwa hao wa michezo ya kubashiri.
Mshindi wa leo anaendelea kuonesha fursa ya kupiga mkwanja na Meridianbet ni kubwa na inawezekana kupiga mkwanja, Kwani kwa dau dogo tu la shilingi 250 ameweza kuondoka na mzigo wa kutosha. Sasa unaweza kuendelea kubashiri bila bando kwa kupiga *
Suka mkeka wako kwenye michezo mikali itakayopigwa leo kwenye ligi ya mabingwa Afrika, Machaguo zaidi za 1000 yapo huku lakini vile vile Turbo Cash pia ipo. Unasubiri nini sasa? Ingia meridianbet na ubashiri sasa.
No comments:
Post a Comment