HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, March 15, 2024

Machi ni Mwezi wenye Neema Tu| Pata Bonasi za Kasino Mpaka Tsh 2,500,000/=

 


HUJAWAHI kuwa mwezi wa kinyonge hata kidogo inapofika mwezi Machi. Ni promosheni na bonasi za kasino deilee. Na hatimaye unapocheza michezo ya kasino ya mtandaoni ya Meridianbet kutoka kwa mtoa huduma Evoplay unaingia kwenye nafasi ya kujishindia mgao wako mpaka 2,500,000/=

Promosheni hii ya "Zawadi za Machi" imeanza kuanzia 14.03. hadi 22.03.2024. Promo itapatikana kwa wachezaji tu waliojisajili na meridianbet. Jisajili hapa ili ufurahie promosheni hii.

Kiwango cha chini cha beti katika promosheni hii ya kasino ya mtandaoni ni TZS 500 au sawa na hiyo katika sarafu ya ndani.

Wakati wa promosheni, wachezaji watashindania jumla ya kiasi cha ushindi kwenye michezo ya kasino ya mtandaoni ifuatayo kutoka kwa mtoa huduma wa Evoplay:

Penalty shoot-out, Penalty shoot-out street, Legacy of Sages, Hot Triple Sevens X, Demon Bonus Buy, Jhana of God Bonus Buy, Cursed Can Bonus Buy, Budai Reels, Cycle of Luck Bonus buy, Hot Volcano, Elven Princesses, Patrick's Magic Field, Inner Fire Bonus Buy, Temple Of Thunder II Bonus Buy, The Greatest Catch Bonus Buy, Camino de Chili Bonus Buy, Juicy Gems, Bandit Bust, Scratch Match - Book of Rest.

kiasi cha ushindi = idadi ya pointi Viwango vitaonyeshwa kwenye UI ya michezo inayoshiriki katika promosheni. Zawadi zitagawanywa kati ya nafasi za kwanza 10 kama inavyoonyeshwa:

1. TZS 750,000

2. TZS 500,000

3. TZS 375,000

4.-10. TZS 125,000 Kila mmoja.

Fedha zilizolipwa zinapatikana mara moja kwa mchezaji kwa kutoa au kucheza ofa nzima kwenye tovuti. Ofa hii inatumika kwa mtumiaji mmoja, anwani ya IP, na kaya.

Kwa maelezo Zaidi juu ya Promosheni hii, tembelea tovuti ya Meridianbet kasino ya mtandaoni, kujua unatakiwa kufanya nini ili ushinde mihela na Bonasi za Kasino kutoka Meridianbet.

NB: Jisajili na Meridianbet na cheza michezo ya kasino ya mtandaoni upate ushindi kirahisi, Pia ongeza maokoto yako kwa kubashiri michezo mbalimbali yenye ODDS KUBWA. PIGA *149*10# AU tembelea tovuti yao meridianbet.co.tz

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad