HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, March 8, 2024

ANZA KUTAJIRIKA NA MAOKOTO YA MERIDIANBET LEO

 

IJUMAA ya leo hii ligi mbalimbali zinaendelea hivyo kama mteja wa meridianbet tengeneza jamvi lako sasa na uanze kubashiri vyema kabisa na tayari ODDS zimeshawekwa. Ingia na ubashiri sasa.

Leo hii pale LALIGA kutakuwa na mbungi kali sana ambapo vijana wa Xavi baada ya kutoa sare mechi yao iliyopita, FC Barcelona watakuwa na kibarua kizito cha kuwakabili RCD Mallorca ambao walipoteza mchezo uliopita.

Barca ambao wapo nafasi ya 3 wamepewa ODDS 1.45 kushinda mechi hii huku mgeni akiwa nafasi ya 15 akipewa ODDS 6.66 huku mara ya mwisho kukutana walitoshana nguvu. Je leo hii nani kuondoka na ushindi?. Bashiri mechi hii sasa.

Vilevile cheza michezo ya Kasino ya Mtandaoni ambayo inatolewa ndani ya meridianbet kama vile Poker, Roullette, Aviator, Rockertman, Keno, Sloti na mingine kibao. Ingia mchezoni na ucheze sasa.

Pia SERIE A itapigwa mechi moja kali kati ya mwenyeji Napoli ambaye atakuwa katika dimba la Diego Armando Maradona kukichapa dhidi ya Torino huku tofauti ya nafasi kwenye msimamo wa ligi ni tatu pekee.

Naples wanaingia kwenye mchezo huu huku wakikumbuka mechi ya kwanza walipokutana, waliambulia kichapo cha maana. Je leo hii wanaweza kulipa kisasi kwa ODDS 1.78 kwa 4.70?. Jisajili hapa.

Kule BUNDESLIGA hapatapoa leo ambapo majira ya saa 4:45 usiku VFB Stuttgart atamualika Union Berlin ambao bado wanachechemea kujiweka kwenye mstari mzuri msimu huu. Mwenyeji yupo nafasi ya 3 na mgeni wake yupo nafasi ya 14 hivyo toafuti ya pointi kati yao ni 25.

Stuttgart alishinda mechi iliyopita huku mgeni wake akipoteza mchezo uliopita. Mechi hii imepewa ODDS 1.47 kwa mwenyeji na 6.07 kwa mgeni. Wewe beti yako unaitupia wapi kati ya mechi hizi. Suka mkeka wako na ubashiri sasa.

Ligi ya Ufaransa LIGUE 1 nayo inatarakiwa kuendelea kwa mchezo mkali sana, OGC Nice atakipiga dhidi za Montpellier HSC ambao wapo nafasi ya 16 kwenye ligi hiyo. Meridianbet wamempa Nice ODDS 1.68 kushinda mechi hii kwa 4.80. Mechi ya mwisho walitoshana nguvu. Je leo hii tutarajie nini hapa?. Mechi hii ina machaguo zaidi ya 1000 meridianbet bashiri sasa.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad