Mwenyekiti
wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Mhe. Jaji (Rufaa) Jacobs Mwambegele
(katikati) akiongoza kikao cha Tume jijini Dodoma leo Februari 15,2024
ambapo pamoja na mambo mengine kilitangaza uchaguzi mdogo wa kata 23 za
Tanzania Bara utakaofanyika Machi 20,2024. Kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa Tume, Mhe. Jaji (Rufaa) Mstaafu, Mbarok Salim Mbaruk na kulia ni Katibu wa Tume na Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Bw. Kailima Ramadhani.
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Mhe. Jaji (R) Jacobs Mwambegele (kushoto) akiongoza kikao cha Tume jijini Dodoma leo Februari 15,2024 ambapo
pamoja na mambo mengine kilitangaza uchaguzi mdogo wa kata 23 za
Tanzania Bara utakaofanyika Machi 20,2024. Pamoja nae ni Katibu wa Tume
na Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Bw. Kailima R.K.
Mwenyekiti
wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Mhe. Jaji (Rufaa) Jacobs Mwambegele
(kulia) akiongoza kikao cha Tume jijini Dodoma leo Februari 15,2024 ambapo
pamoja na mambo mengine kilitangaza uchaguzi mdogo wa kata 23 za
Tanzania Bara utakaofanyika Machi 20,2024. Kushoto ni Makamu Mwenyekiti
wa Tume, Jaji (Rufaa) Mstaafu, Mbarok Salim Mbaruk.
Wajumbe wa Tume wakiwa katika kikao cha Tume
**************
Tume ya Taifa ya Uchaguzi imetangaza uchguzi
mdogo wa madiwani kwenye kata 23 za Tanzania Bara.
No comments:
Post a Comment