HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, February 17, 2024

MERIDIANBET YAIBARIKI COCO BEACH

 


JUMAPILI ya leo tarehe 17 mwezi wa pili kampuni kongwe ya michezo ya kubashiri Meridianbet imefika maeneo ya Coco Beach na kuhakikisha wanaacha alama katika eneo, Kwani wamefanikiwa kutoa msaada kwa wajasiriamali wadogo.

Mara nyingi mabingwa hao wa michezo ya kubashiri wamekua wajitahidi kurudisha kwenye jamii yake, Ambapo leo wamefanikiwa kugawa Aprons kwa wajasiriamali wanaopatikana Coco Beach wakiuza mihogo na huduma zingine tofauti tofauti.

Kugawa Aprons katika eneo la Coco Beach ni wazo zuri kwani litaweza kuimarisha usafi katika eneo hilo, Lakini pia kuwaweka wahudumu hao katika mazingira safi jambo ambalo linaweza kulinda afya za watu.

Aidha Mkuu wa kitengo cha Mawasiliano na masoko kutoka Meridianbet Nancy Ingram alipata nafasi ya kuzungumza kuhusiana na jambo walilolifanya leo” "Tunafahamu kabisa umuhimu wa usafi binafsi kwa kila mtu, na usafi binafsi ndio wa umuhimu sana katika kuimarisha Zaidi utunzaji wa mazingira katika maeneo ya biashara, hasa hasa eneo kama hili la biashara ya vyakula"

Wafanya biashara hao wadogowadogo wanaopatikana maeneo ya Coco Beach wametoa shukrani kwa kampuni ya Meridianbet kwa msaada walioutoa” Tunashukuru sana Meridianbet kufika mahala hapa ma kutupatia msaada wa Aprons, Lakini pia ningependa kutoa wito kwa makampuni mengine kuiga mfano kwa Meridianbet”

Suka mkeka wako na Meridianbet, kwani wana ODDS KUBWA, Machaguo zaidi za 1000 yapo huku lakini vile vile Turbo Cash pia ipo. Unasubiri nini sasa? Ingia meridianbet na ubashiri sasa.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad