HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, February 17, 2024

BASHIRI NA MERIDIANBET MECHI ZA LEO

JUMAMOSI ya leo mechi mbalimbali zinaendelea kuanzia kule EPL, Laliga, Bundesliga, Ligue 1 na nyingine nyingi. Huu ndio muda wa wewe kujipigia mkwanja sasa tengenzeza jamvi lako na upige pesa hapa.

Kivumbi kitakuwa pale EPL katika dimba la Gtech Community ambapo Brentford atakuwa mwenyeji wa Liverpool. Meridianbet inampa nafasi ya kushinda Liver kwa ODDS 1.60 kwa 4.70, huku mara za mwisho walipokutana, Jogoo alishinda. Je leo hii Nyuki wanaweza kulipa kisasi wakiwa na Ivan Toney?. Suka mkeka wako hapa.

Nao Arsenal chini za Arteta baada ya kutoa dozi nzito mchezo uliopita, leo hii watakuwa ugenini kukabiliana na Burnley ambayo wapo chini kwenye msimamo wa ligi. Vicent Kompany na vijana wake kushinda mechi hii wamepewa ODDS 9.80 huku the Gunners wakipewa 1.27. Ikumbukwe Arteta anataka ligi. Je ataendeleza ushindi?. Jisajili na ubeti.

Vile vile Meridianbet inakukumbusha kucheza michezo ya Kasino ya Mtandaoni ambayo inatolewa ndani ya meridianbet kama vile Poker, Roullette, Aviator, Rockertman, Keno, Sloti na mingine kibao. Ingia mchezoni na ucheze sasa.

Utamu wa soka utakuwa pia katika dimba la St James’ Park ambapo mwenyeji Newcastle United atakipiga dhidi ya AFC Bournemouth ambao wanashikilia nafasi ya 13 kwenye msimamo wa ligi. 1.93 ndio ODDS za ushindi ya Eddie Howe na vijna wake huku mgeni akiwa na 3.43. Je nani kutoka na pointi 3 leo?. Suka mkeka wako sasa.

Fulham uso kwa uso dhidi ya Aston Villa ambaye mechi iliyopita alipoteza akiwa nyumbani. Leo yupo ugenini kusaka pointi tatu huku meridianbet wakiwa wamempa ODDS 2.35 kwa 2.74 kushinda mchezo huu. Mara za mwisho kuonana, Villa alishinda. Je leo mwenyeji kulipa kisasi. Beti sasa.

Macho za wote Duniani leo hii yatakuwa pale katika Dimba la Etihad majira ya saa 2:30 usiku ambapo Manchester City atamenyana dhidi za Chelsea ya Pochettino. Mechi za mzunguko wa kwanza walitoshana nguvu. Je Pep Guardiola na vijana wake leo hii watakusanya pointi tatu mbele za The Blues?. Mechi hii imepewa ODDS 1.32 kwa 7.64. Tengeneza jamvi hapa.

Na sasa tunahamia kule LALIGA ambako nako leo hii wikendi kutakuwa na michezo kadhaa huku mchezo wa mampema ni huu wa Atletico Madrid dhidi ya Las Palmas. Simeone anaingia uwanjani akikumbuka kuwa mechi za mwisho walipokutana alichezea kichapo. Je leo hii atalipa kisasi?. Mechi hii imepewa ODDS 1.42 kwa mwenyeji na 7.44 kwa mgeni. Suka mkeka wako na ubashiri muda huu.

Nao Barcelona baada ya kulazimishwa sare mchezo wao uliopita, leo hii watakuwa ugenini kuzichapa dhidi za RC Celta Vigo ambaye yupo nafasi ya 17 kwenye msimamo wa ligi. Xavi amepewa ODDS 1.83 dhidi za 3.92 kushinda mechi hii. Je Barca kushinda ugenini leo hii?. Bashiri sasa.

Mechi ya usiku kabisa leo hii saa 5:00 ni hii za Valencia dhidi ya Sevilla ambaye alipata ushindi mechi yake iliyopita akiwa nyumbani kwake. Tofauti za pointi kati za timu hizi mbili ni 12. Nani kuondoka na pointi tatu leo hii?.

Ligi kuu ya Ufaransa LIGUE 1, pia kitawaka leo hii kwa mechi mbili zenye maokoto mengi pale Meridianbet na ya kwanza ni hii ya Lille dhidi ya Le Havre majira ya saa 1:00 usiku ambapo mwenyeji yupo nafasi ya 5 na mgeni wake yupo nafasi ya 12. Mgeni anataka kulipa kisasi baada ya kupoteza mechi ya kwanza walipokutana. Je ataweza?. Beti na meridianbet mechi hii.

Huku mabingwa watetezi PSG na vinara wa ligi hiyo wao watakuwa ugenini kumenyana dhidi za Nantes ambao mechi iliyopita, walipata ushindi. Paris kushinda mechi hii wamepewa ODDS 1.42 kwa 6.66. Mechi hii ina machaguo zaidi ya 1000 pale meridianbet. Ingia na ubashiri.

Pia SERIE A itatimua vumbi mabingwa watetezi Napoli baada za kupoteza mchezo uliopita, leo hii watakuwa wenyeji wa Genoa ambaye pia alipoteza mechi iliyopita . Meridianbet wamempa nafasi ya kushinda mwenyeji akipewa ODDS 1.67 kwa 5.29. Bashiri sasa mechi hii.

Mechi nyingine pale Italia ni hii inayowakutanisha kati za Hellas Verona dhidi za Juventus ambao walishangazwa kwa kichapo ambacho walipewa walipokuwa nyumbani mechi iliyopita. Je leo hii kwa ODDS hii ya 1.65 kwa 5.68 atafanya nini?. Tengeneza mkeka wako hapa.

Usiku kabisa Atalanta atakuwa mwenyeji wa Sassuolo katika dimba la Gewiss huku mechi ya mwisho walipoonana mwenyeji alishinda. Je leo hii kwa ODDS za 1.32 kwa 8.03 anaweza akapata ushindi?. Beti kijanja na meridianbet sasa.

BUNDESLIGA nayo itaendelea hii leo kwa michezo kadhaa ambapo kinara wa ligi Bayer Leverkusen chini ya kocha mkuu Alonso watakuwa ugenini kukipiga dhidi ya FC Heidenheim ambao kushinda mechi hii wamepewa ODDS 7.64 kwa 1.34. Suka mkeka wako hapa na ubashiri.

Utamu mwingine wa soka leo hii utakuwa kwenye mechi hii za Wolfsburg dhidi ya Borussia Dortmund ambao kushinda mechi hii wamepewa ODDS 2.06 kwa 3.23. Mwenyeji yupo nafasi za 12 na mgeni yupo nafasi za 4, huku mara za mwisho kukutana mwenyeji alishinda. Je nani atashinda leo?

Huku majira ya saa 2:30, Rb Leipzig atamkaribisha Borussia Monchengladbach ambaye hapendelewi sana kushinda mechi hii akiwa na ODDS za 7.05 kwa 1.35. Timu hizi mechi zao zilizopita wametoa sare. Je leo hii nani kuibuka na alama 3?. Suka mkeka wako haraka na ubeti.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad