HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, January 15, 2024

BETI MECHI ZOTE ZA AFCON NA MERIDIANBET LEO

 


IKIWA leo ni Jumatatu nzuri kabisa, au “Blue Monday” kama ambavyo watu wengi hupenda kuita hivyo na michuano mikubwa Barani Afrika AFCON inaendelea huku meridianbet wao wakiwa tayari wamekusogezea ODDS za kibabe za kuanza siku yaok. Ingia na ubashiri sasa.

Hebu tuanze na mabingwa watetezi wa michuano hii ambao ni Senegal ambao wao watakuwa na kibarua cha kuwakabili Gambia ambao wamepewa ODDS 11.76 kwa 1.27 kushinda mechi hii. Ikumbukwe kuwa hii itakuwa ni mechi ambayo ina watazamaji wengi kutokana na ukubwa wa Senegal kwa kuwa wana wachezaji wengi sana ambao wanacheza vilabu vikubwa Ulaya akiwemo Sadio Mane, Diata na wengine wengi. Je vijana wa Aliou Cisses wataanzaje michuano hii?. Bashiri mechi hii na meridianbet.

Vilevile, huku ukiendelea kubeti mechi hizo za AFCON, kuna michezo ya Kasino ya Mtandaoni ambayo ipo kwaajili ya kukupatia pesa za fasta kama vile, Aviator, Poker, Roulette, Rocketman na Sloti. Weka pesa bashiri hapa.

Baada ya jana kushuhudia matokeo ya ajabu kwelikweli ambayo labda hukutarajia na leo huenda yakatokea yakutokea hivyo ingia meridianbet mapema suka mkeka wako na ubashiri mechi nyingine ya kukupatia pesa kati ya Cameroon ambayo imesheheni vipaji vingi dhidi ya Guinea. Mechi hii imepewa ODDS 2.16 kwa 3.92. Cameroon ni moja ya Nnchi ambayo inapigiwa sana upatu kuchukua Kombe hili kubwa Afrika. Je atanza vipi michuano hii?. Tengeneza jamvi lako hapa na ubeti na meridianbet.

Mechi nyingine ya pesa leo ipo Kundi D ambapo kutakuwa na mtanange wa kukata na shoka kati ya Algeria dhidi ya Angola. Huku watu wengi wakitaka kujua nini Riyad Mahrez na timu yake watafanya leo, wewe nenda Meridianbet beti mechi hii ambayo imepewa ODDS 1.55 kwa Algeria na 6.46 kwa Angola. Asikwambie mtu pesa ipo hapa. Jisajili na ubeti.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad