JUMATANO ya leo itakua kwenye yamoto sana kwenye usiku wa ulaya ambapo itapigwa michezo ya kiume sana ambayo itakwenda kuamua hatma ya timu kadhaa kufuzu hatua inayofuata ya michuano hiyo.
Mabingwa wa michezo ya kubashiri Meridianbet wametoa ODDS KUBWA katika michezo hiyo ambayo itakwenda kupigwa leo usiku, Hivo wewe mteja wa mabingwa hao wa michezo ya kubashiri una nafasi ya kupiga mkwanja kupitia michgezo itakayopigwa usiku wa leo.
Pia kumbuka kuna kucheza JACKPOT ya Meridianbet ambayo inakufanya ushinde shilingi Milioni Mia Mbili, 200,000,000 kwa dau lako la shilingi 1000 pekee ukibashiri kwa usahihi mechi zako 13. Nafasi ni yako ingia www.meridianbet.co.tz na uweke mkeka wako.
Borussia Dortmund watakua nyumbani kuwakaribisha klabu ya PSG katika mchezo wa kundi F ambapo mabingwa hao watetezi watakua wanahitaji alama tatu muhimu katika mchezo huo ili kufuzu hatua ya 16 ya michuano hiyo, Lakini katika kundi hilo mchezo mwingine utapigwa pale katika dimba la St. James Park kati ya Newcastle United dhidi ya Ac Milan ambapo atakaeshinda mchezo huu na PSG akapoteza mbele ya Dormund basi atafuzu hatua inayofuata.
Mchezo wa kundi H kati ya Fc Porto na Shakhtar Donetsk ambapo Porto atakua nyumbani utakua unaamua nani aungane na Barcelona kufuzu hatua ya 16 bora, Kwnai timu hizo mbili zote zina alama 9 hivo kila mmoja atahitaji kushinda ili kufuzu hatua inayofuata.
Michezo hiyo ndio itakua michezo ya mwisho ya hatua ya makundi kwenye ligi ya mabingwa ulaya msimu huu na michezo kadhaa itakua inaamua hatma ya timu kadhaa kwenda hatua inayofuata ya 16 bora, Hivo itakua michezo yenye kuvutia ambayo imepewa ODDS KUBWA pale Meridianbet.
Pia kumbuka kuna kucheza JACKPOT ya Meridianbet ambayo inakufanya ushinde shilingi Milioni Mia Mbili, 200,000,000 kwa dau lako la shilingi 1000 pekee
ukibashiri kwa usahihi mechi zako 13. Nafasi ni yako ingia www.meridianbet.co.tz na uweke mkeka wako.
No comments:
Post a Comment