HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, December 2, 2023

NI WIKIENDI YA GUARDIOLA DHIDI YA ANGE

 


JUMAPILI hii inakwenda kuwakutanisha makocha wenye ubora mkubwa na mbinu za kutisha kati ya kocha wa Manchester City Pep Guardiola ambaye atakutana na kocha Ange Postecoglou ambaye ni mgeni kwenye ligi kuu ya Uingereza.

Klabu ya Manchester City watakua nyumbani kumenyana na Tottenham Hotspurs ambao walianza vizuri msimu huu, Huku wenyeji wao wakiendeleza ubora wao ambao wamekua nao misimu ya hivi karibuni licha ya kua nafasi ya pili.

Pia kumbuka kuna kucheza JACKPOT ya Meridianbet ambayo inakufanya ushinde shilingi Milioni Mia Mbili, 200,000,000 kwa dau lako la shilingi 1000 pekee ukibashiri kwa usahihi mechi zako 13. Nafasi ni yako ingia www.meridianbet.co.tz na uweke mkeka wako.

Michezo kati ya Manchester City dhidi ya Tottenham Hotspurs imekua yenye ushindani mkubwa sana katika misimu ya hivi karibuni haswa Spurs wakiwa nyumbani, Lakini wikiendi hii wanakwenda kucheza katika dimba la Etihad ambapo City watakua nyumbani.

Mchezo huu utakua wenye ushindani mkubwa kuanzia ndani ya uwanja mpaka nje ya uwanja kwani makocha wa vilabu vyote wana ubora mkubwa, Kwani Pep Guardiola anafahamika ubora wake bila kumsahau Ange Postecoglou wa Tottenham ambaye anahesabika kama moja ya makocha tishio wanaokuja barani ulaya hivo ni mechi ambayo itakupa vionjo vyote.

Mchezo huu unatarajiwa kua mkali vilevile kutokana matokeo ambayo vilabu hivyo imepata katika michezo yao ya mwisho, Manchester City ambao wametoka kudondosha alama katika mchezo uliopita wakicheza dhidi ya Liverpool wakitoka sare, Lakini pia Tottenham wao ndio watakua na njaa zaidi kwani hawajavuna alama hata moja katika michezo yao mitatu ya mwisho.

Mchezo huu umepewa ODDS KUBWA pale Meridianbet kwakua hivo unapewa nafasi kubwa wewe mteja wa Meridianbet kuhakikisha unaweza mkeka wako mapema ili uweze kujipigia maokoto ya kutosha wikiendi hii ili kuepuka unyonge.

Pia kumbuka kuna kucheza JACKPOT ya Meridianbet ambayo inakufanya ushinde shilingi Milioni Mia Mbili, 200,000,000 kwa dau lako la shilingi 1000 pekee ukibashiri kwa usahihi mechi zako 13. Nafasi ni yako ingia www.meridianbet.co.tz na uweke mkeka wako.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad