BAADA ya jana zawadi kufunguliwa kibabe kabisa na wadau kujipigia mkwanja wa kutosha hatimae leo michezo mbalimbali itakwenda kupigwa kunako ligi kuu ya Uingereza katika viwanja tofauti tofauti.
Katika hali ya kuendeleza shangwe la sikukuu Meridianbet wameendelea kumwaga ODDS KUBWA na za kibabe katika michezo mbalimbali ya ligi kuu ya Uingereza ambayo itakwenda kupigwa leo katika ligi hiyo pendwa kabisa duniani.
Pia kumbuka kuna kucheza JACKPOT ya Meridianbet ambayo inakufanya ushinde shilingi Milioni Mia Mbili, 200,000,000 kwa dau lako la shilingi 1000 pekee ukibashiri kwa usahihi mechi zako 13. Nafasi ni yako ingia www.meridianbet.co.tz na uweke mkeka wako.
Chelsea ikiwa haina mwenendo mzuri na kumbukumbu za kupoteza mchezo wao wa mwisho wa ligi kuu ya Uingereza siku ya Jumapili, Leo watashuka dimbani kuwakaribisha klabu ya Crystal Palace kuangalia uwezekano wa kupata matokeo ya ushindi ambayo wamekua hawayapati mara kwa mara.
Manchester City ambayo kwenye michezo yao sita ya mwisho katika ligi kuu ya Uingereza wamepata ushindi katika mchezo mmoja pekee, Leo watakua katika dimba la Goodson’s Park kukipiga na klabu ya Everton ambayo wamekua kwenye kiwango bora siku za hivi karibuni.
Klabu ya Brentford leo watakua nyumbani kuwakaribisha klabu ya Wolves katika mchezo wa ligi kuu ya Uingereza, Ikumbukwe Wolves walitoka kupata matokeo ya ushindi katika mchezo wao mwisho ya ligi kuu ya Uingereza waliokipiga dhidi ya klabu ya Chelsea katika dimba la Molineux.
Michezo yote inayokwenda kupigwa leo katika ligi kuu ya Uingereza imepewa ODDS KUBWA ambazo zitampata fursa mteja wa Meridianbet kuendelea kufurahia msimu huu wa sikukuu, Kwani ukiweka mkeka wako unajipigia mkwanja wa kutosha.
Pia kumbuka kuna kucheza JACKPOT ya Meridianbet ambayo inakufanya ushinde shilingi Milioni Mia Mbili, 200,000,000 kwa dau lako la shilingi 1000 pekee
ukibashiri kwa usahihi mechi zako 13. Nafasi ni yako ingia www.meridianbet.co.tz na uweke mkeka wako.
No comments:
Post a Comment