HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, November 9, 2023

RAIS SAMIA ASHIRIKI KIKAO CHA MAJADILIANO BAINA YAa UJUMBE WA TANZANIA, WAWEKEZAJI MBALIMBALI PAMOJA NA BENKI YA MAENDELEO YA AFRIKA

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) Dkt. Akinwumi Adesina pamoja na viongozi mbalimbali wakati wa Kikao baina ya Ujumbe wa Tanzania na Wawekezaji kando ya Mkutano wa Jukwaa la Uwekezaji Barani Afrika, Marrakesh nchini Morocco tarehe 08 Novemba, 2023.

Kikao hicho kimejadili mradi wa Ujenzi wa Reli ya Kisasa ya Kusini (SGR) kutoka Mtwara – Mbambabay na Tawi la kwenda Mchuchuma hadi Liganga pamoja na Mradi wa ujenzi wa Bandari mpya na ya kisasa ya Mangapwani.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad