Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania(TCAA) Hamza S. Johari akitoa maelezo kuhusu kazi na miundo mbalimbali ya Mamlaka wakati wa ziara ya Naibu Waziri wa Wizara ya Uchukuzi, David Kihenzile alipotembelea Mamlaka hiyo leo jijini Dar es Salaam.
Mkuu wa Chuo cha Usafiri wa Anga Tanzania (CATC) Aristid Kanje akitoa ufafanuzi kwa Naibu Waziri wa Wizara ya Uchukuzi, David Kihenzile kuhusu Chuo cha CATC pamoja na ujenzi wa chuo kwenye kiwanja cha TCAA walichokabidhiwa na Serikali alipotembelea Mamlaka hiyo leo jijini Dar es Salaam.
Naibu Waziri wa Wizara ya Uchukuzi, David Kihenzile akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kutembelea Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) leo jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) Bw. Hamza Johari akizungumza na waandishi wa habari kuhusu namna walivyopokea maelekezo ya Serikali na kuhakikisha kuwa yatafanyiwa kazi mara baada ya Naibu Waziri wa Wizara ya Uchukuzi, David Kihenzile kumaliza ziara yake.
No comments:
Post a Comment