LIGI ya Europa inatarajiwa kupigwa hii leo katika viwanja mbalimbali ambapo timu zinawania pointi tatu ili kujihakikishia nafasi ya kwenda hatua nyingine inayofuata kwenye michuano hii, huku timu nyingine zikipambania kushuka kwenda ligi ya Konferensi.
Majira ya saa 2:45 Lask atakuwa mwenyeji wa Union Saint-Gilloise ambaye kwenye mechi hii anapewa nafasi kubwa ya kushinda mchezo huu akipewa ODDS 2.01 huku mwenyeji wake akipewa 3.52. Mwenyeji hajashinda mchezo wowote hadi sasa huku mara ya mwisho walipokutana, alipoteza. Je leo hii anaweza ibuka na ushindi nyumbani? Suka jamvi lako hapa na Meridianbet.
Mechi nyingine itakuwa ni kati ya Servette Geneva dhidi ya FC Sheriff Tiraspol huku timu zote zikiwa na pointi sawa 1, wakiwa wamepoteza mechi mbili na kutoa sare moja. Nafasi ya kushinda mechi hii kapewa mwenyeji akiwa na ODDS 1.69 kwa 4.90. Beti na Meridianbet mechi hii.
Utamu wa mechi hizi za Europa utakuwa kule nchini Azerbaijan katika dimba la Tofiq Bakhramov ambapo Bayer Leverkusen atakuwa mgeni wa Qarabag. Vijana wa Alonso ndio vinara wa kundi hilo wakiwa na pointi 9 huku mwenyeji akiwa na pointi zake 6. 1.40 ndio ODDS ya ushindi kwa Mjerumani kwa 6.66. Suka mkeka wako jumuisha na mechi hii.
Huku ukiendeleakujibweda na mechi hizi za Europa kumbuka kucheza Kasino ya Mtandaoni kama vile Aviator, Keno, Roullette, Piggy Party, Wild Icy Fruits, na michezo mingine mingi ambayo itakupatia maokoto ya maana. Ingia mchezoni Meridianbet na ucheze sasa.
Wakati huo huo vijana wa Jurgen Klopp, Liverpool watakuwa ugenini kusaka pointi zingine tatu dhidi ya Toulouse kutoka kule Ufaransa huku mechi ya kwanza walipokutana, Majogoo walishinda. Mechi hii ina ODDS KUBWA na machaguo mengi pale Meridianbet.
Nao Stade Rennes baada ya kushinda mechi iliyopita, leo hii atamualika Panathinaikos Athens kwenye mechi yao ya pili ya michuano hii. Rennes ana pointi 6 hadi sasa akiwa kashinda mechi mbili na kupoteza mechi moja huku mgeni wake akishinda moja, sare moja, na kupoteza moja. 1.62 kwa 5.09 ndio ODDS za mechi hii, bashiri sasa.
Vibonde wa kundi B, Ajax Amsterdam watakiwasha dhidi ya vijana wa Roberto De Zerbi huku timu hiyo kutoka Uholanzi wakiwa hawajashinda mechi yoyote mpaka sasa. Mara ya mwisho kukutana Brighton alishinda. Je leo hii nani kuondoka na pointi tatu? Mechi hii imepewa ODDS ya 4.11 kwa 1.71. Ingia na ubashiri sasa.
Huku Slavia Prague wao wanatarajiwa kuwa wenyeji wa AS Roma ambao mechi ya kwanza walipokutana Mourinho na vijana wake waliondoka na ushindi. Je leo hii watafanya nini ugenini? Roma amepewa ODDS 2.55 kwa 2.84. Suka mkeka wako hapa na ubashiri sasa.
Saa 5:00 ya usiku West Ham United wao baada ya kupoteza mchezo uliopita, watamkarbisha Olympiacos Piraeus nyumbani kwao kusaka pointi tatu huku vijana hao wa David Moyes wakipewa nafasi ya kushinda mechi hii kwa kupewa ODDS 1.59 kwa 5.29.
Nao Aek Athens ambao wamepewa ODDS 2.45 watakuwa na kibarua dhidi ya Olympique Marseille ambao wana ODDS 2.74. Timu hizi zimepishana pointi moja pekee huku Marseille akiwa hajapoteza mchezo wowote mpaka sasa. Je leo hii nani ataibuka na ushindi?
Vilevile Atalanta atakiwasha dhidi ya SK Sturm Graz ambao wanaonekana kutopendelewa kushinda mechi hii pale Meridianbet ambao wamepewa ODDS 11.76 kushinda mechi hii kwa 1.22. Mwenyeji ana pointi 7 na mgeni wake akiwa na pointi 4. Ingia mchezoni na ubashiri mechi hii.
Maccabi Haifa atakichapa dhidi ya Villarreal ya Hispania ambapo mgeni ana pointi zake tatu na mwenyeji ana pointi zake moja. Kushinda mwenyeji mechi hii amepewa ODDS 4.01 kwa 1.91. Suka mkeka wako na ubashiri hapa.
No comments:
Post a Comment