HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, November 4, 2023

JUMAMOSI YA PESA NI LEO BASHIRI NA MERIDIANBET

 


JUMAMOSI ya kupiga mkwanja na Meridianbet imefika na sio nyingine ni hii ya leo ambapo mechi nyingi za kibabe zitapigwa huku ODDS zao zikiwa zimeshiba. Unachotakiwa wewe ni kusuka jamvi lako na kuweka dau lako ili uwe milionea.

Na leo tunaanzia pale EPL ambapo majira ya saa 9:30 Mashetani Wekundu watakuwa ugenini kukiwasha dhidi ya Fulham katika dimba la Craven Cottage huku mara ya mwisho kukutana, United alishinda. Je mwenyeji atalipa kisasi leo hii? Nafasi kubwa ya kushinda amepewa Ten Hag akiwa na ODDS ya 2.11 kwa 3.28. Beti sasa.

Mechi nyingine itakuwa ni kati ya Everton dhidi ya Brighton & Hove Albion ambaye ametoka kutoa sare akiwa nyumbani kwake. Mwenyeji ameshinda mchezo wake uliopita. Nani kupata ushindi leo hii?

Nao vijana wa Vicent Kompany watakuwa wenyeji wa Cyrstal Palace ambayo imepoteza mchezo wake uliopita. Burnley wapo nafasi ya 19 kwenye msimamo na mgeni wake yupo nafasi ya 13. Mechi hii imepewa ODDS ya 2.84 kwa 2.55 nani ni nani leo? Bashiri kijanja na mabingwa wa ubashiri Tanzania.

Huku mechi ya kibabe kwa Premier League leo ni kati ya mwenyeji Newcastle United dhidi ya Arsenal ya Mikel Arteta. The Gunners wanatazamia kutetea taji lao la EPL msimu huu huku wakiwa hawajapoteza kwenye ligi hadi sasa. Je leo wanaweza kuacha pointi St James’ Park? Mechi hii ina machaguo zaidi ya 1000 meridianbet.

Wakati unaendelea kubashiri mechi hizi kumbuka kucheza JACKPOT ya meridianbet ambayo ni baab kubwa yani ni shilingi milioni mia mbili, 200,000,000 kuwaniwa kwa dau la shilingi elfu moja pekee (1000) endapo utabashiri kwa usahihi mechi 13. Kwa vitochi na USSD piga *149*10# Bashiri hapa.

Na sasa tunapaa hadi kule ligi ya Italia SERIE A, ambapo bingwa mtetezi wa ligi hiyo Napoli atakuwa mgeni wa US Salernitana kibonde wa ligi ambaye kapewa ODDS 6.86. Vijana hao wa Garcia wametoka kushinda mechi yao iliyopita. Je wataendeleza ushindi na leo? Suka mkeka wako hapa.

Majira ya saa 2:00 usiku katika dimba la Gewiss Atalanta atakipiga dhidi ya Inter Milano ambaye ndiye kinara wa ligi hiyo akipewa ODDS ya ushindi ya 2.04 na mwenyeji akipewa 3.47. Mara ya mwisho kumenyana vijana wa Inzaghi walishinda mechi hii.

Mechi ya mwisho leo katika ligi hiyo itahitimishwa na vijana wa Stephano Pioli AC Milan ambao watakuwa nyumbani kwao San Siro kukiwasha dhidi ya Udinese Calcio. Milan hajapata ushindi mechi mbili mfululizo kwenye ligi. 1.42 ndio ODDS yake ya ushindi na mgeni wake kapewa 6.86. Beti sasa mechi hii.

LALIGA itarindima kivyake pia na mechi ya mapema kabisa ni kati ya CA Osasuna dhidi ya Girona huku timu hizi zote ODDS zao zikifungamana yani 2.60 kwa 2.60. Mgeni yupo nafasi ya pili na mwenyeji akiwa nafasi ya 11. Tengeneza jamvi lako na Meridianbet.

RC Celta Vigo atakipiga dhidi ya Sevilla ambapo tofauti ya pointi kati yao ikiwa ni 4 pekee. Mwenyeji yupo nafasi ya 18 na mgeni wake yupo nafai ya 14. Je nani kushinda mechi hii leo?

Huku mida ya saa 5:00 bingwa mtetezi wa ligi hiyo ya Hispania FC Barcelona baada ya kupoteza mchezo wake uliopita, leo hii atakuwa ugenini dhidi ya Real Sociedad aliyetoka kutoa sare. Xavi anahitaji ushindi huu leo kujiweka vyema kutetea taji hilo tena. Je mwenyeji atamzuia? ODDS KUBWA zipo mechi hii.

Halikadhalika ligi ya Ufaransa, LIGUE 1 itashuhudiwa leo hii kwa mechi mbili ambapo ya kwanza itakuwa ni kati ya FC Lorient dhidi ya RC Lens mwenye ODDS 1.72 kwa 4.60. Mara ya mwisho kukutana kati yao mgeni alishinda mechi hii.

Naye Olympique Marseille atashuka dimbani kwake kukiwasha dhidi ya Lille. Mwenyeji ana ODDS 2.15 kwa 3.23. Tofauti ya pointi kati yao ni 6 tuu. Ingia meridianbet na ubashiri mechi hii.

Ligi ya Ujerumani, BUNDESLIGA nayo itapigwa kama kawaida ambapo FSV Mainz atakiwasha dhidi ya RB Leipzig majira ya saa 11:30 jioni. Ikumbukwe kuwa Mainz ndiye kibonde wa ligi hadi sasa huku mgeni wake akiwa nafai ya 5. Lakini walipokutana mara ya mwisho RB alipoteza mechi. Leo atafanya nini?

Union Berlin ambaye yupo nafasi ya 16 atakuwa mwenyeji wa Eintracht Frankfurt ambaye yupo nafasi ya 7 na tofauti ya pointi kati yao ikiwa ni 8 pekee. Nnai unampa ashinde mechi hii ya leo ambapo mwenyeji ana ODDS 2.50 kwa 2.84. Suka mkeka wako hapa.

Naye kinara wa ligi Bayer Leverkusen atakuwa ugenini kusaka pointi 3 dhidi ya TSG Hoffenheim ambaye kapewa ODDS 5.09 kwa 1.53. Kumbukumbu zinaema kuwa walipokutana mara ya mwisho Alonso na vijana wake walishinda..

Bingwa mtetezi FC Bayern Munich yeye atakipiga dhidi ya Borussia Dortmund majira ya saa 2:30 usiku huku mechi 10 za mwisho kukutana Dortmund ametoa sare moja pekee akiambulia vipigo 9. Thomas Tuche kushinda mechi hii kapewa ODDS 1.87 kwa 3.43. Je BVB atashinda leo? Suka jamvi lako sasa.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad