HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, November 7, 2023

JE UNAUJUA ULE MSEMO WA RAHA YA KUBETI ULE? HUU HAPA SASA

MAMBO vipi mteja wa Meridianbet kama tunavyojua siku ya leo na kesho ni siku za kujiokotea maokoto ya maana pale Meridianbet ambapo mechi za ligi ya mabingwa zitapigwa huku Meridianbet wakikuwekea ODDS KUBWA na machaguo zaidi ya 1000.

Darubini yangu inanipeleka moja kwa moja pale Ukrain katika dimba la Volksparkstadion ambapo FC Shakhtar Donetsk atakuwa mwenyeji wa FC Barcelona ambaye ndiye kinara wa kundi hilo. Xavi na vijana wake wana pointi 9 huku mwenyeji akiwa nafasi ya tatu na pointi 1 akishinda mechi moja, na kupoteza mara mbili. Mechi iliyopita walipokutana Barca alishinda. Je Novatus na timu yake watafanya nini? Beti mechi hii sasa.

Wakati majira ya saa 5:00 usiku, FC Porto baada ya kumbamiza vibaya Royal Antwerp mechi iliyopita, leo hii atamleta nyumbani kwenye mechi ya marudiano kusaka pointi zingine tatu. Mwenyeji yupo nafasi ya pili huku mgeni wake akiwa kibonde wa kundi hilo. 1.33 ndiyo ODDS ya mwenyeji kushinda kwa 8.62. Nani kuibuka mbabe leo?

Baada ya kutoka huku sasa tupae hadi kule Italia katika dimba la San Siro ambapo AC Milan atakuwa mwenyeji wa PSG. Milan yupo nafasi ya mwisho akiwa hajashinda mechi yoyote hadi sasa akitoa sare mbili pekee, wakati Enrique na vijana wake wakiwa na pointi 6. Pioli kapewa ODDS 2.84 kwa 2.35. Huku Mbappe, huku Giroud nani kubeba jahazi lao leo?

Lakini pia usisahau kucheza michezo ya kasino ya mtandaoni ndani ya Meridianbet kam avile, Aviator, Poker, Roulette, Wild Icy Fruits, Keno, Piggy Party na mingine kibao uweze kujikusanyia maokoto ya kutosha. Ingia www.meridianbet.co.tz.

Utamu wa soka mwingine utakuwa pale Signal Iduna Park kwenye mechi ya Borussia Dortmund dhidi ya Newcastle United ya Eddie Howe. Mara ya kwanza walipokutana BVB alishinda. Ikumbukwe kuwa hawa wote wana pointi 4. Je leo hii nani kufikisha pointi 7? Tengeneza jamvi lako hapa sasa.

Saa 5:00 vijana wa Maurizio Sarri Lazio Rome baada ya kupoteza mchezo wao uliopita, leo watarudiana tena dhidi ya Feyenord Rotterdam. Timu hiyo kutoka Italia imepewa ODDS 2.50 kwa 2.69. Mgeni ndiye kinara wa kundi E akiwa na pointi 6. Je Sarri na vijan awake watafanya nini nyumbani?

Nao vijana wa Diego Simeone Atletico Madrid watakuwa nyumbani kumenyana dhidi ya Celtic ambao wana pointi moja pekee ambao waliipata walipokutana mchezo uliopita. Atletico wamepewa ODDS ya 1.27 kwa 9.80. Je nani kuibuka mbabe leo hii?

Huku FK Crvena Zvezda Belgrade watakuwa wenyeji wa RB Leipzig ambao wapo nafasi ya pili kwenye kundi. Mechi ya kwanza walipokutana mwenyeji alipasuka akiwa ugenini. Leo yupo nyumbani akipewa ODDS 5.68 kwa 1.54. Ingia meridianbet na ubashiri mechi hii sasa.

Mechi hizi za ligi ya mabingwa zitaendelea hapo kesho kwa michezo mengi na yenye pesa nzuri pale Meridianbet.

Mechi ya mapema kabisa itapiwa majira ya saa 2:45 usiku ambapo Real Sociedad atakipiga dhidi ya Benfica Lisbon mwenye ODDS 4.60 akiwa hana pointi yoyote mpaka sasa. Walipokutana mechi iliyopita mwenyeji alishinda mechi hiyo. Leo hii nani ni nani? Mechi hii ina machaguo zaidi ya 1000.

Wakati mida ya saa 5:00 Manchester United ambao walipata ushindi wao mechi iliyopita watakuwa ugenini dhidi ya FC Copenhagen ambao wana pointi moja pekee. Ten Hag na vijana wake kushinda mechi hii wamepewa ODDS 1.76 kwa 4.41. Je Mashetani Wekundu wataibuka na ushindi ugenini? Suka mkeka wako hapa sasa.

Vijana wa Mikel Arteta Arsenal ambao wana pointi zao 6 watakuwa wenyeji watamkaribisha Sevilla kutoka Hispania huku wakipewa ODDS 9.01. The Gunners wanahitaji pointi tatu kujikita kileleni. Mechi hii ina machaguo mengi pale Meridianbet.

FC Salzburg atakuwa mwenyeji wa Inter Milano ya Simone Inzaghi ambao wana pointi zao 7 sawa na kinara wa kundi hilo. Mwenyeji ana ODDS 5.48 kwa 1.57. Mechi yao ya kwanza walipokutana, Inter aliondoka na ushindi. Je leo hii nani kuondoka na ubabe?

Nao vinara wa kundi A FC Bayern Munich wakiwa na pointi zao 9 watakuwa pale Allianz Arena kukiwasha dhidi ya Galatasaray Instanbul ya Uturuki ambao kushinda mechi hii wamepewa ODDS 11.76. Wakati mwenyeji akipewa 1.19. Wewe beti yako unaipeleka wapi?

Real Madrid ya Ancellotti waoa watamenyana na SC Braga ambao walipokutana mara ya kwanza, Real walishinda na bado mpaka sasa wapo kileleni wakiwa na pointi zao 9. Wakati mgeni wao yupo nafasi ya 3 na pointi zake 3. Mechi hii ina ODDS 1.22 KWA 10.78. Bashiri sasa mechi hii pia.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad