HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, October 23, 2023

RAIS SAMIA AWASILI ZAMBIA


Mhe. Rais Samia Suluhu akiwa amesimama pamoja na mwenyeji wake Rais wa Zambia Mhe. Hakainde Hichilema wakati wa Wimbo wa Taifa wa Tanzania na Zambia ukiimbwa mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kenneth Kaunda, Lusaka nchini Zambia tarehe 23 Oktoba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu akizungumza jambo na mwenyeji wake Rais wa Zambia Mhe. Hakainde Hichilema mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kenneth Kaunda, Lusaka nchini Zambia kwa ajili ya ziara ya Kitaifa Oktoba 23, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu akiwapungia mkono moja ya kikundi cha ngoma za asili cha Zambia wakati wa mapokezi Rasmi katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Lusaka tarehe 23 Oktoba, 2023.Mhe. Rais Samia Suluhu akiwa na mwenyeji wake Rais wa Zambia Mhe. Hakainde Hichilema wakati wakifurahia vikundi mbalimbali vya burudani mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kenneth Kaunda, Lusaka nchini Zambia kwa ajili ya Ziara ya Kitaifa Oktoba 23, 2023
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu akiwapungia mkono moja ya kikundi cha ngoma za asili cha Zambia wakati wa mapokezi Rasmi katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Lusaka tarehe 23 Oktoba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu akikagua Gwaride la Heshima mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kenneth Kaunda, Lusaka nchini Zambia kwa ajili ya Ziara ya Kitaifa tarehe 23 Oktoba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu akikagua Gwaride la Heshima mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kenneth Kaunda, Lusaka nchini Zambia kwa ajili ya Ziara ya Kitaifa tarehe 23 Oktoba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Rais wa Zambia Mhe. Hakainde Hichilema alipowasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kenneth Kaunda Lusaka kwa ajili ya kuanza ziara ya Kitaifa nchini humo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea Shada la Maua mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kenneth Kaunda Lusaka kwa ajili ya kuanza ziara ya Kitaifa nchin Zambia. kushoto ni Rais wa Zambia Mhe. Hakainde Hichilema.


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad