HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, October 23, 2023

Piga Mkwanja na Mechi za Kibabe Leo Hii

 

Baada ya wikendi kushuhudia mitanange kibao ikichezwa, leo hii ten akivumbi kinaendelea kwenye viwanja mbalimbali kuanzia hapa nyumbani Tanzania, na nje ya hapa nyumbani. Meridianbet kama kawaida wanakwambia sogea karibu uweze kunufaika nao.

Ligi kuu ya NBC Tanzania itaendelea leo hii kwa mchezo mkubwa kabisa ambao ni DERBY ya Dar es salaam itakayowakutanisha Yanga na Azam katika dimba la Benjamin Mkapa majira ya saa 12:30 jioni.

Yanga amepoteza mchezo mmoja mpaka sasa akishinda minne kwenye michezo mitano aliyocheza huku kwa Azam yeye ameshinda minne na kutoa sare mchezo mmoja. Mara ya mwisho kukutana, vijana wa Gamondi waliondoka na ushindi, na leo hii nafasi kubwa ya kushinda mechi hii amepewa mwenyeji akiwa na ODDS ya 1.37 kwa 7.05. Beti mechi hii na Meridianbet sasa.

Pia kumbuka kuna kucheza JACKPOT ya Meridianbet ambayo inakufanya ushinde shilingi Milioni Mia Mbili, 200,000,000 kwa dau lako la shilingi 1000 pekee ukibashiri kwa usahihi mechi zako 13. Nafasi ni yako ingia www.meridianbet.co.tz na uweke mkeka wako.

Ligi nyingine ambayo inatarajiwa kuendelea hii leo ni Ligi kuu ya Uingereza, EPL kwa mchezo mmoja ambao ni Tottenham Hot Spurs dhidi ya Fulham majira ya saa 4:00 usiku huku ushindi wa Spurs leo utamfanya aongoze ligi kwa pointi 23. Msimu uliopita Fulham waliambulia patupu walipokutana. Je leo hii wanaweza fanya nini mbele ya Ange ambaye hajapoteza mchezo wowote hadi sasa? Suka mkeka wako hapa.

SERIE A itapigwa michezo miwili na wa kwanza kabisa utakuwa ni kati ya Udinese dhidi ya US Lecce majira ya saa 1:30 usiku, na takwimu zinaonyesha kuwa mwenyeji hajashinda mechi yoyote kati ya 8 alizocheza huku mgeni wake akishinda mitatu na kwenda sare tatu. 2.20 ndio ODDS ya mwenyeji kushinda na mgeni amepewa 3.43. Wewe beti yako unaiwek awapi kati ya hawa wawili?

Vilevile ligi ya Hispania, LALIGA kitawaka vilivyo katika dimba la  Mestalla ambapo Valencia aliyepo nafasi ya 10 atamualika kwake Cadiz ambaye yupo nafasi ya 15. Mara ya mwisho kukutana, mgeni alishinda. Machaguo zaidi ya 1000 yapo mechi hii.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad