HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, October 31, 2023

MERIDIANBET YASAPOTI MICHEZO KIJITONYAMA

 

KAMPUNI ya Meridianbet imefika Kijitonyama mtaa wa Ali Maua B na kuhakikisha wanatoa sapoti kwa wapenda michezo wa eneo ambapo wamefanikiwa kutoa vifaa vya michezo kwa klabu ya Magic Power ya eneo hilo.

Mabingwa hao wa michezo ya kubashiri wametoa mipira na jezi kwa timu ya Magic Power ya eneo hilo katika kuhakikisha wanaupa nguvu mpira wa miguu eneo hilo, Kwani kutoa vifaa vya michezo eneo hilo kutawavutia vijana wengi kuingia kwenye michezo.

Meridianbet imekua ikijitahidi kuhakikisha wanagawana na jamii yao ambayo inawazunguka pale wanapopata nafasi, Kwani bila jamii wao wasingekuepo na ndio sababu hawajawahi kuiacha nyuuma jamii yao kwa kurudisha kwenye jamii ambacho wamekua wakikipata.

Ukiwa na Meridianbet rahisi kujinyakulia kitita cha pesa kwani kuna michezo ya kasino kama vile, Aviator, poker, Roullete, Wild Icy Fruits, Piggy Party na mingine kibao ya kupiga pesa na Meridianbet. Ingia www. meridianbet.co.tz.

Mkuu wa kitengo cha mawasiliano na masoko kutoka Meridianbet Nancy Igram ambae ndio mratibu wa zoezi zima la ugawaji wa vifaa vya michezo kwa timu ya Magic Power alisema “Kwanza kabisa napenda kutoa shukrani zangu za dhati kwa uongozi wa timu ya Magic Power, Lakini pia nipende kusema nafurahi kuwepo hapa na kutoa vifaa hivi vya michezo kwakua najua vitakua chachu ya kuibua vipaji ambavyo vitakua msaada kwa taifa siku zijazo Asanteni sana”

NB: Habari njema kwako,Meridianbet imesikia ombi la wengi imekuja na Jackpot kubwa ya mechi 13 kwa dau dogo la kuanzia 1,000/=TZS mshindi atajinyakulia donge nono la Tsh 200,000,000/= PIGA *149*10#

Tofauti na mkuu wa kitengo na mawasiliano kutoka Meridianbet kuzungumza lakini Kiongozi wa timu ya Magic Power alipata nafasi ya kuzungumza na kutoa shukrani zake “Kiukweli napenda kuwashukuru sana sana kampuni ya Meridianbet kwa kuja hapo na kutusaidia vifaa vya michezo kwa timu yetu, Kwani hii itasaidia kuleta motisha kwa vijana wetu kucheza mpira na mwisho nitoe wito kwa makampuni mengine wajitahidi kukumbuka jamii zao kama wafanyavyo Meridianbet”

Meridianbet inakupatia machaguo mengi zaidi ya 1000, ODDS Kubwa na kile ambacho unakitaka ndio maana kaulimbiu yao inasema kuwa, “Meridianbet, Msimu Mpya Mzigo wa Kutosha”. Kama bado hujajisajili na Meridianbet muda ndio ingia www.meridianbet.co.tz uanze kucheza michezo mbalimbali ya kasino pamoja na kubashiri mechi.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad