HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, October 15, 2023

MATUKIO YA MAADHIMISHO YA KILELE CHA MWENGE WA UHURU 2023, BABATI - MANYARA

Picha za Waasisi wa Taifa letu, Baba wa Taifa Mwalimu Juius Kambarage Nyerere na Rais wa Kwanza wa Zanzibar Sheikh Abeid Amani Karume ambae ndiyo waasisi wa Mwenge wa Uhuru. Picha zote na Cathbert Kajuna - MMG/Kajunason
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia katika Maadhimisho ya Kilele cha mbio za Mwenge wa Uhuru ambayo Kitaifa yamefanyika katika uwanja wa Tanzanite Kwaraa Mkoani Manyara tarehe Oktoba 14, 2023.
Makamu wa Rais Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango akimkaribisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kuhutubia wananchi wakati wa Maadhimisho ya Kilele cha mbio za Mwenge wa Uhuru ambayo Kitaifa yamefanyika katika uwanja wa Tanzanite Kwaraa Mkoani Manyara tarehe Oktoba 14, 2023.
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Doto Biteko akizungumza machache wakati wa Maadhimisho ya Kilele cha mbio za Mwenge wa Uhuru ambayo Kitaifa yamefanyika katika uwanja wa Tanzanite Kwaraa Mkoani Manyara tarehe Oktoba 14, 2023.
Mkuu wa mkoa wa Manyara Mhe. Queen Cuthbert Sendiga akitoa salamu za mkoa wa Manyara kwa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan katika Maadhimisho ya Kilele cha mbio za Mwenge wa Uhuru ambayo Kitaifa yamefanyika katika uwanja wa Tanzanite Kwaraa Mkoani Manyara tarehe Oktoba 14, 2023.
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhandisi Cyprian Luhemeja akiwatambulisha viongozi mbalimbali wakati wa Maadhimisho ya Kilele cha mbio za Mwenge wa Uhuru ambayo Kitaifa yamefanyika katika uwanja wa Tanzanite Kwaraa Mkoani Manyara tarehe Oktoba 14, 2023.
Viongozi na wageni mbalimbali pamoja wa Vyama vya Siasa wakiwa kwenye Sherehe za Kilele cha mbio za Mwenge wa Uhuru ambayo Kitaifa yamefanyika katika uwanja wa Tanzanite Kwaraa, Babati Mkoani Manyara tarehe Oktoba 14, 2023.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. Selemani Saidi Jafo akizungumza na wakuu wa wilaya
Wakuu wa Wilaya wakifurahia jambo
Viongozi mbalimbali wakiwa kwenye Sherehe za mbio za Mwenge wa Uhuru ambayo Kitaifa yamefanyika katika uwanja wa Tanzanite Kwaraa, Babati Mkoani Manyara tarehe Oktoba 14, 2023.
Burudani ikiendeea
Wasanii wa Kikundi cha MAMA ONGEA NA MWANAO linangozwa na Steve Mengele almaarufu kama Steve Nyerere wakiburudika
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa amesimama wakati wa Heshima ya Wimbo wa Taifa wa Tanzania na ule wa Afrika Mashariki mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Tanzanite Kwaraa, Babati kwa ajili ya kushiriki Maadhimisho ya Kilele cha mbio za Mwenge wa Uhuru ambayo Kitaifa yamefanyika Mkoani Manyara tarehe Oktoba 14, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiekea jukwaani kuu katika uwanja wa Tanzanite Kwaraa, Babati kwa ajili ya kushiriki Maadhimisho ya Kilele cha mbio za Mwenge wa Uhuru ambayo Kitaifa yamefanyika Mkoani Manyara tarehe Oktoba 14, 2023.
Viongozi mbalimbali pamoja wa Vyama vya Siasa wakiwa kwenye Sherehe za mbio za Mwenge wa Uhuru ambayo Kitaifa yamefanyika katika uwanja wa Tanzanite Kwaraa, Babati Mkoani Manyara tarehe Oktoba 14, 2023.
Maandamano yakipita mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan katika Maadhimisho ya Kilele cha mbio za Mwenge wa Uhuru ambayo Kitaifa yamefanyika Mkoani Manyara tarehe Oktoba 14, 2023.
Jumbe mbai mbai zikipitishwa mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan katika Maadhimisho ya Kilele cha mbio za Mwenge wa Uhuru ambayo Kitaifa yamefanyika Mkoani Manyara tarehe Oktoba 14, 2023.
Vijana wa Halaiki wakionyesha umahili wa kuchora maumbo
Vikosi mbali mbali vya vijana wa halaiki wakipita kutoa heshima kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan katika Maadhimisho ya Kilele cha mbio za Mwenge wa Uhuru ambayo Kitaifa yamefanyika Mkoani Manyara tarehe Oktoba 14, 2023.
Vijana wa halaiki wakiimba wimbo wa uzalendo mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan katika Maadhimisho ya Kilele cha mbio za Mwenge wa Uhuru ambayo Kitaifa yamefanyika Mkoani Manyara tarehe Oktoba 14, 2023.

Viongozi mbalimbali pamoja wa Vyama vya Siasa wakiwa kwenye Sherehe za mbio za Mwenge wa Uhuru ambayo Kitaifa yamefanyika katika uwanja wa Tanzanite Kwaraa, Babati Mkoani Manyara tarehe Oktoba 14, 2023.
Kikundi cha MAMA ONGEA NA MWANAO kinachoongozwa na Steve Mengele almaarufu kama Steve Nyerere nao walihudhuria Maadhimisho ya Kilele cha mbio hizo katika uwanja wa Tanzanite Kwaraa, Babati Mkoani Manyara tarehe 14 Oktoba, 2023.
Wasanii wa Utenzi toka Zanzibar wakitoa burudani katika Maadhimisho ya Kilele cha mbio za Mwenge wa Uhuru katika uwanja wa Tanzanite Kwaraa, Babati Mkoani Manyara tarehe Oktoba 14, 2023.
Kiongozi wa Mbio hizo Abdallah Shaibu Kaimu akiwa amebeba Mwenge wa Uhuru kwenda kumkabidhi Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan wakati wa Maadhimisho ya Kilele cha mbio hizo katika uwanja wa Tanzanite Kwaraa, Babati Mkoani Manyara tarehe Oktoba 14, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea Mwenge wa Uhuru kutoka kwa Kiongozi wa Mbio hizo Abdallah Shaibu Kaimu wakati wa Maadhimisho ya Kilele cha mbio hizo katika uwanja wa Tanzanite Kwaraa, Babati Mkoani Manyara tarehe Oktoba 14, 2023.
Kiongozi wa Mbio hizo Abdallah Shaibu Kaimu akisoma risala iliyobeba miradi yote ya Tanzania wakati wa Maadhimisho ya Kilele cha mbio hizo katika uwanja wa Tanzanite Kwaraa, Babati Mkoani Manyara tarehe Oktoba 14, 2023.
Kiongozi wa Mbio hizo Abdallah Shaibu Kaimu akiondoka mara baada ya kumkabidhi Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan ripoti ya miradi yote ya Tanzania wakati wa Maadhimisho ya Kilele cha mbio hizo katika uwanja wa Tanzanite Kwaraa, Babati Mkoani Manyara tarehe Oktoba 14, 2023.
Vijana wakiulinda Mwenge wa Uhuru
Wakuu wa Mikoa pamoja na viongozi wengine wakiwa kwenye Sherehe za mbio za Mwenge wa Uhuru ambayo Kitaifa yamefanyika katika uwanja wa Tanzanite Kwaraa, Babati Mkoani Manyara tarehe Oktoba 14, 2023.
Viongozi mbalimbali pamoja wa Vyama vya Siasa wakiwa kwenye Sherehe za mbio za Mwenge wa Uhuru ambayo Kitaifa yamefanyika katika uwanja wa Tanzanite Kwaraa, Babati Mkoani Manyara tarehe Oktoba 14, 2023.
Viongozi mbalimbali wakiwa kwenye Sherehe za mbio za Mwenge wa Uhuru 2023 ambayo Kitaifa yamefanyika katika uwanja wa Tanzanite Kwaraa, Babati Mkoani Manyara tarehe Oktoba 14, 2023.
Viongozi wakipata picha ya ukumbusho

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad