HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, October 22, 2023

Kuwa Milionea na Mechi za Leo Meridianbet

Ligi mbalimbali Duniani zinaendelea baada ya hapo jana kushuhudia mitanange kadha wa kadha kupigwa, sasaleo hii kama kawaida Meridianbet wanakuambia bashiri nao uweze kufaidika na huduma wanazozitoa, bila kusahau huku kuna kila unachohitaji wewe kama ODDS KUBWA, Machaguo zaidi ya 1000 na mengine kibao.

LALIGA itaendelea kubamba hii leo kwa michezo kibao ambapo mchezo wa mapema ni kati ya mwenyeji UD Las Palmas dhidi ya Rayo Vallecano huku nafasi ya kuondoka na ushindi mechi hii amepewa mwenyeji kwaODDS ya 2.60 kwa 2.84. Tofauti ya pointi kati yao ni 2. Bashiri mechi hii na Meridianbet sasa.

Mechi nyingine ni kati ya Girona ambaye amekuwa na kiwnago kizuri msimu huu dhidi ya UD Almeria ambaye anashikilia nkia hadi sasa. 1.42 ndiyo ODDS ya mwenyeji kushinda na mgeni akipewa 6.46. Je nani kutoboa hii leo? 
Huku ukiendelea kubashiri mechi zako kumbuka ule mchezo pendwa kabisa wa AVIATOR leo hii unatoa mvua za kutosha hivyo ingia sasa na unaze kupaa na kindege hicho ufike sehemu ya ndoto zako kwani huku pesa ni ya upesi na ya haraka sana. Meridianbet ndio sehemu ya kukupatia utajiri na si nyingine.

Ubabe mwingine utakuwa majira ya saa 1:30 usiku ambapo Villarreal atamualika Deportivo Alaves nyumbani kwake huku timu hizi zikiwa na mwanzo mbaya wa ligi kwani zipo nafasi za chini kwenye msimamo hadi sasa. Mechi zao 9 walizocheza wameshinda mechi mbili mbili kila mtu. Leo nani kushinda ya tatu? 

Majira ya saa 4:00 usiku ni Barcelona dhidi ya Athletic Clubambao wanashika nafasi ya 6 kwenye msimamo wa ligi. Msimu uliopita Xavi alibeba pointi zote sita kwenye mechi mbili walizokutana. 1.67 ndio ODDS ya ushindi ya mwenyeji na 4.90 ya mgeni. Beti yako unaiweka wapi hapa?

Pilika pilika zingine zitakuwa kule SERIE A ambapo Jumapili hii mapema kabisa katika dimba la Stadio Olimpico patawaka moto AS Roma atakipiga dhidi ya AC Monza. Mourinho akishinda leo atapanda hadi nafasi ya 6 kutoka ya 11. Je mgeni anaweza kumzuia?

Wakati mechi ya baadae itakuwa ni kati ya Bologna dhidi ya Frosinone Calcio ambao wamepewa nafasi ndogo ya kushinda mechi hii wakiwa na ODDS ya 4.50 kwa 1.76. Tofauti ya pointi kati yao ni moja pekee. Bashiri mechi hii yenye machaguo zaidi ya 1000 Meridianbet.

Atalanta ambayo imetoka kupoteza mchezo uliopita, atakuwa nyumbani hii leo kukiwasha dhidi ya Genoa. Mwenyeji yupo nafasi ya 6 na mgeni wake yupo nafasi ya 15. Je vijana wa Gian Gasperin watakubali kupoteza mechi mbili mfululizo. Suka jamvi lako mapema.

Mechi ya kufungia Wikendi pale Italia itakuwa ni kati ya AC Milan dhidi ya Juventus katika dimba la San Siro majira ya saa 4:00 usiku. Nafasi kubwa ya ksuhinda mechi hii amepewa Milan akiwa na ODDS ya 2.30 kwa 3.28. Mara ya mwisho kukutana Pioli alishinda. Je leo Allegri anaweza kulipa kisasi? Bashiri sasa mechi hii.
 
Ligi ya Ufaransa LIGUE 1 nayo itaendelea hii leo, FC Lorientatakipiga dhidi ya Stade Rennes huku mara ya mwisho kukutana mwenyeji alishinda. Mgeni ana ODDS ya 1.94 na mwenyeji amepewa ODDS ya 3.67. Nani kuibuka kidedea leo?

Wakati Toulouse yeye atamenyana dhidi ya Stade Reims mwenye pointi 13 kwenye ligi hadi sasa. Kushinda mwenyeji amepewa ODDS ya 2.69 kwa 2.50. Mara ya mwisho timu hizi mbili kukutana, walitoshana nguvu. Je leo hii nani anaweza kushinda?

Vijana wa Paulo Fonseca Lille watamkaribisha nyumbani kwao Stade Brest 29 kusaka pointi tatu . Mechi hii ina ODDS KUBWA pale Meridianbet ingia na ubashiri sasa. Timu zote zimetoka kutoa sare mechi zao zilizopita hivyo ushindi ni muhimu kwa kila timu. Je nani atashinda?

AS Monaco watakipiga dhidi ya FC Metz huku uhsindi wa mwenyeji utamfanya aongoze ligi akiwa na pointi zake 20. Mechi mbili za msimu uliopita walipokutana, Monaco alishinda zote. Je mgeni anaweza kuharibu sherehe ya mwenyeji wake?. Beti mechi hii na Meridianbet.

Nayo EPL itaendelea hii leo kwa mchezo mmoja ambapo Aston Villa watamualika West Ham kusaka pointi zao 3. Tofauti ya pointi kati yao ni mbili pekee huku Villa akiwa juu ya Moyes. Mara ya mwisho kukutana,walitoshana nguvu. Vipi safari hii nani atashinda?

Ple BUNDESLIGA mechi zitapigwa mbili tuu ambapo mechi ya mapema ni kati ya FC Cologne dhidi ya Borussia Monchengladbach huku mwenyeji akiwa ndiye kibonde wa ligi akiwa hajashinda mechi yoyote kati ya 7 alizocheza. Lakini walipokutana mara ya mwisho walitoshana nguvu. Machaguo mengi yapo mechi hii.

Mechi ya mwisho itakuwa ni saa 12:30 jioni ambayo ni kati ya FC Heidenheim dhidi ya Augsburg. Nafasi kubwa ya kushinda mechi hii amepewa  mwenyeji akiwa na ODDS ya 2.35 kwa 2.79. Nani kuibuka na ushindi leo hii?. Suka mkeka wako na jumuisha  mechi hii.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad