HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, October 25, 2023

KAMERA YA MTAA KWA MTAA KUTOKEA NEWALA MKOANI MTWARA

Hivi karibuni katika misele ya Mzee wa Mtaa kwa Mtaa, aliibukia maeneo ya Newala huko mkoani Mtwara, ambapo pamoja na misele yake yote hapa nchini hii ndio ilikuwa mara yake ya kwanza kufika katika wilaya hiyo.  Hivyo akavutika kupata taswira kadhaa za katikati ya mji huo na kuzileta hapa mtaani kama ilivyo kawaida yake ya toka zamani.
Hapa pichani huitaji kuwa na maelezo mengi, mzee yupo zake na mamsapu barazani, chombo kipo pembeni kusuiri abiria.
Newala ni kuzuri jamaniii
 Mapanda njia, ukitaka kwenda Tandahimba sawa ukitaka kwenda Mbuyuni hadi Makong'onda ni wewe tu.


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad