HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, October 20, 2023

Kaa Mkao wa Kula Pesa Wikendi Hii

 

Baada ya ligi mbalimbali duniani kusimama kupisha kalenda ya FIFA, hatimaye wikendi hii leigi zinarejea kwa kishindo kikubwa huku, Meridianbet wakikuhakikishia kuwa ushindi ni wako ukibashiri nao kwani huku kuna ODDS KUBWA, Machaguo zaidi ya 1000 na Turbo Cash ipo.

Tukianza na ile ligi pendwa Ulaya yani EPL itaendelea kuanzia hapo kesho ambapo mechi ya mapema itakuwa ni kati ya Liverpool dhidi ya Everton ikiwa ni Merseyside derby huku nafasi kubwa ya ushindi amepewa Klopp akiwa na ODDS ya 1.32 kwa 7.44. Mara ya mwisho kukutana Jogoo alishinda. Je nani kuibuka mshindi kesho?

Mechi nyingine itakuwa ni kati ya vijana wa Pep Guardiola Manchester City ambaye atakuwa Etihad kumkaribisha Brighton ya De Zerbi. City amepoteza mechi mbili mfululizo za ligi. Je na kesho atakubali kupoteza mechi ya tatu? Suka jamvi lako hapa.

Katika dimba la ST James’ Park Newcastle United baada ya kulazimishwa sare ugenini atamualika Crystal Palace ambaye naye pia alitoa sare mchezo wake uliopita. Mechi ya mwisho kukutana hakuna aliyekuwa mbabe. Howe amepewa ODDS ya 1.46 kushinda mechi hii kwa 6.86. Bashiri sasa.

Majira ya 1:30 usiku itapigwa LONDON DERBY kati ya Chelsea dhidi ya Arsenal ambapo nafasi kubwa ya kushinda mechi hii pale Meridianbet amepewa The Gunners akiwa na ODDS ya 2.54 kwa 2.99. The Blues wapo nafasi ya 11 huku Arteta akiwa nafasi ya 2. Beti mechi hii pia.

Vilevile JACKPOT baab kubwa ya Meridianbet inaendelea kama kawaida ambapo Milioni Mia Mbili, 200,000,000 kutolewa ukibashiri kwa usahihi mechi zako 13 kwa dau la shilingi 1000. Kwa wale wa kitochi na USSD menyu ni ile ile *149*10#. Ingia www.meridianbet.co.tz ubashiri sasa.

LALIGA nayo ni ya moto sana wikendi hii huku mechi za kukupatia mkwanja zikiwa ni kama zote tukianza na leo ambapo mwenyeji CA Osasuna ambaye yupo nafasi ya 12 atamualika Granada anayeshikilia nafasi ya 19. Mwenyeji kushinda ana ODDS ya 1.72 kwa 4.60. Bashiri mechi hii.

Utamu mwingine wa soka la Hispania utakuwa pale Sanchez Pazjuan ambapo kinara wa ligi Real Madrid atakuwa mgeni wa Sevilla. Real ana ODDS ya 1.86 kushinda mchezo huu kwa 3.92. Wakati mwenyeji wake akiwa nafasi ya 14, je Ancellotti na vijana wake watafanya nini?

Vijana wa Diego Simeone Atletico Madrid  watakuwa ugenini dhidi ya RC Celta Vigo ambaye yupo nafasi ya 18 kwenye msimamo wa ligi. Mara ya mwisho kukutana msimu uliopita Atletico alichukua pointi sita zote. Je mwenyeji atalipa kisasi? Mechi hii ina machaguo zaidi ya 1000 Meridianbet.

Kipute kingine kitakuwa kule SERIE A ambapo vijana wa Rudi Garcia ambao ndio mabingwa watetezi, Napoli watakuwa wageni wa Hellas Verona  amepewa ODDS ya 5.29 kwa 1.64. Mara ya mwisho kukutana walitoka suluhu. Tofauti ya pointi kati yao ni 6. Suka jamvi lako na uweke mechi hii.

Majira ya saa 1:00 Torino atazichapa dhidi ya Inter Milan ya Simone Inzaghi anayeshikilia nafasi ya pili. Mwenyeji yupo nafasi ya 14 akivuna pointi 9 pekee kwenye mechi nane alizocheza. Walipokutana mara ya mwisho Milan alishinda zote.

;">BUNDESLIGA kama kawaida mambo yatakuwa ni moto wakianza leo leo Borussia Dortmund atakiwasha dhidi ya Werder Bremen huku BVB wakilenga ushindi leo waongoze ligi. Vijana wa Terzic wakipewa ODDS ya 1.30 kwa 7.84.

Union Berlin mwenye ODDS ya 2.50 atakipiga dhidi ya VFB Stuttgart ambaye amepewa ODDS ya 2.69. Mara ya mwihso kukutana Berlin alishinda huku tofauti ya pointi kati yao ni 12. Suka mkeka wako haraka na ubeti

Baada ya RB Leipzig kulazImishwa sare mchezo uliopita, atakuwa ugenini kusaka pointi 3 dhidi ya SV Darmstadt 98 mwenye ODDS 6.07. Je RB atafanya nini safari hii huku akipewa nafasi kubwa ya kushinda pale Meridianbet kwa ODDS ya 1.44.

Nao mabingwa watetezi Bayern Munich ya Thomas Tuchel watakuwa wageni wa FSV Mainz. Mechi iliyopita mwenyeji aliondoka na pointi 3 huku Mabingwa hao wa Ujerumani wakitaka kulipa kisasi kwa ODDS ya 1.25. Je mwenyeji atazuia?

Kule Ufaransa LIGUE 1 itarindima kwa michezo kibao wakianza leo majira ya saa 4:00 usiku ambapo Le Havre atamualika RC Lens ambaye ana mwenendo mbaya msimu huu akiwa nafasi ya 14 hadi sasa. ODDS KUBWA zipo hapa ingia na ubashiri.

Mabingwa watetezi PSG ya Luis Enrique waoa watakuwa Parc Des Princes kusaka pointi tatu waongoze ligi dhidi ya Strasbourg Alsace mwenye ODDS ya 10.78. Je mgeni anaweza Paris mwenye Mbappe, Hakimi, Ndembele na wengine?

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad