HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, October 3, 2023

ILE JACKPOT YA MERIDIANBET MZIGO UMEONGEZWA!

 


HAKIKA ni kweli kabisa ujasiriamali ni utafutaji usiokuwa na mwisho, na msaka riziki hachoki ni usemi wa Kiswahili wenye maana sana, unaweza kusema mwezi huu wa Oktoba ndio mwezi unaopaswa kuwekeza ziaidi pale Meridianbet na kuzikaka pesa kwenye Jackpot yao kubwa.

Kwa taarifa zilivyo mpaka sasa mzigo wa Jackpot kubwa kabisa hapa nchini umeongezwa kutoka Tsh milioni 85 mpaka milioni 200TZS, lakini kingine cha Zaidi dau la kubashiri ni lile lile tsh 1,000/= yako tu na timu zako 13 za uhakika zinaweka kukufanya kuwa tajiri mpya hapa mjini.

Meridianbet imeamua kuongeza nafasi Zaidi kwa washindi, ambapo njia za kushiriki kwenye Jackpot hii kubwa ya Tsh 200m ni kwa wateja wanaobashiri kwa kitochi kwa kupiga *149*10# na wale wanaobashiri kupitia mtandaoni (online) kila wiki inapoisha mfumo utakuwa na timu mpya 13 za kubashiri na nyingine za akiba endapo ikitokea dharula kwenye mechi husika.

Ili kushinda kwenye Jackpot hii ya Tsh 200m unapaswa kupatia timu zote 13, ikitokea umepatia timu 12 na moja ikachana tiketi yako, Meridianbet haijakuacha itakupa pole kwa Tsh 5,000,000/= lakini hiyo haitoshi hata ukipatia mechi 11 kati ya 13, bado hukosi kitu utapokea Tsh Milion Moja 1,000,000/=

NB: Endapo mechi yeyote kati ya 13 itaghairishwa, mechi ya kwanza kwenye mpangilio wa mechi za akiba itachukua nafasi ya mechi iliyoghairishwa. Ikiwa mechi 6 au zaidi zitaghairishwa hakutakuwa na mshindi wa Jackpot kwa wiki hiyo, Jackpot itahamia wiki inayofuata.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad